LAND – Mwongozo wa Mafunzo – BOOK

Mwongozo huu umeandaliwa kwa ajili ya Mradi wa Upimaji na Umilikishaji Ardhi (LTSP) kwa Wilaya za Malinyi, Ulanga na Kilombero. Mwongozo huu umeandaliwa kwa pamoja na Taasisi ya Chama Cha Wanasheria Watetezi wa Mazingira kwa Vitendo (LEAT) na Jumuiko la Maliasili Tanzania (TNRF), chini ya Jukwaa la Ardhi Tanzania (TALA).

File Details

Total Downloads6
Total Views163
Publish DateOctober 13, 2020
Size1.39 MB
Download