News Centre

KIPEPERUSHI CHA LEAT, APRILI 2014

Sunday, April 20, 2014|Number of views (5511)|Categories: News

Documents to download

Neno LEAT ni kifupisho cha maneno ya Kiingereza "Lawyers’ Environmental Action Team" ambayo kwa Kiswahili ni "Timu ya Wanasheria Watetezi wa Mazingira kwa Vitendo". LEAT ni asasi ya kiraia iliyoanzishwa mnamo mwaka 1994 na kusajiliwa rasmi mwaka 1995 kama asasi ya vyama vya kijamii. Mnamo Novemba 2001, LEAT ilibadili muundo wake na kuwa kampuni isiyokuwa na mtaji wa hisa chini ya Sheria ya Makampuni. Kwa usajili huo katika Sheria ya Makampuni LEAT ni asasi ya kiraia isiyotengeneza faida yenye kutetea na kukuza umuduji, ulinzi na matumizi dumivu ya mazingira na rasilimali zake.


Imetolewa na:

Mkurugenzi Mtendaji
Lawyers’ Environmental Action Team (LEAT)
Mazingira House, Mtaa wa Mazingira
S.L.P 12605
Dar es Salaam, Tanzania

E-Mail: info@leat.or.tz
Tel: +255 22 2780859
Fax: +255 22 2780859


Documents to download

Please login or register to post comments.

«May 2017»
MonTueWedThuFriSatSun
24252627282930
1234567
891011121314
15161718192021
22
1104

International Day for biological biodiversity:

22 May 2017 is International day for biodiversity and this year’s theme is tourism. The UN Convention on biodiversity (CBD) is using this opportunity to promote the value of tourism in significantly reducing threats to, and maintaining or increasing key wildlife populations and biodiversity through tourism revenue. It does mention the need to reduce the negative impacts of tourism but, whereas it sings the supposed values of tourism, it merely whispers the negative impacts. 

Read more
232425262728
2930311234