Tamko la LEAT juu ya Ripoti ya Kamati Maalum ya Rais kuhusu Mchanganyiko wa Madini katika Makontena.

Thursday, May 25, 2017|Number of views (1743)|Categories: News

Documents to download

Timu ya Wanaseheria Watetezi wa Mazingira kwa Vitendo (LEAT) Imetoa tamko juu ya Ripoti ya Kamati Maalumu ya Rais juu ya Mchanganyiko wa Madini (Makinikia) katika Makontena yaliyozuiliwa bandarini.

Kwa kifupi LEAT haishangazwi na kile kilichobainika kwani ni kile ilichokuwa inakisema miaka yote tokea mwaka 2001. LEAT inataka mabadiliko makubwa katika sekta za mafuta, gesi na madini kwani sheria zinazoziongoza zinaruhusu kuporwa kwa rasilimali hizi muhimu za nchi.

Tamko hili limeambatanishwa hapa


Documents to download

Please login or register to post comments.

«February 2019»
MonTueWedThuFriSatSun
28293031123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728123
45678910